<<<<<

Piga
Mungu
Pengine
Huyu
Kila
Kutojali
Kujali
Amri Kumi
Hatia
Umepata
Toba
Basi
Imani iokoayo
Anakuwa
Kwa
Sababu
Na

Barua-pepe

  >>>>>

Kwa maneno yako mwenyewe ongea na Mungu…

Tubu dhambi zako. Zitaje kwa majina: kiburi, udanganyifu, maadili mabaya, chuki, kutosamehe, nk.

Mwambie Mungu kuwa unatubu — unakusudia kuachana na dhambi zote unazozijua na chanzo cha dhambi zako ambacho ni ubinafsi.

Mwambie Mungu kuwa unamuamini Yeye tu —unajitoa kwake kabisa na kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako kama Bwana na Mwokozi.

Atatunza ahadi yake, atakusamehe na kuja katika maisha yako, na kukufanya kuwa mpya.

Unaweza kujitoa kabisa kwa moyo wote au kwa msukumo wa nje tu. Uamuzi wako unasukumwa na dhamira, asili na jinsi Mungu akujiavyo kwako kipekee. Unafahamu kuwa umejitoa kwa dhamiri ya kweli ili kumpendeza Mungu na jambo hili ni muhimu. Misukumo ya nje itatoweka, lakini uchaguzi wa moyo wako hautabadilika.

Sasa mshukuru Bwana kwa kuwa mwana wake na kwa maisha mapya ndani yako. Sasa unaweza kuomba.

- -