Toba… inatajwa zaidi ya mara 55 katika Agano Jipya.
Yesu mwenyewe alisema, “Sivyo; lakini msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo.” Luka 13:3
Basi kutubu kuna umuhimu gani?
| | | | | Imani iokoayo
| | | | Toba|
| | | | Hatia| |
| | | Kujali| | |
| Kutojali| | | |
| | | | | |
Ukiwa katika ngazi hii, fungua ukurasa sasa, kisha chukua hatua ya mwisho. |