<<<<<

Piga
Mungu
Pengine
Huyu
Kila
Kutojali
Kujali
Amri Kumi
Hatia
Umepata
Toba
Basi
Imani iokoayo
Anakuwa
Kwa
Sababu
Na

Barua-pepe

  >>>>>

Umepata alama ngapi? Kufaulu ni asilimia mia moja (100%). Mungu hapimi uzani. Yakobo 2:10 “Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote.” Sheria ni kama pulizo. Tundu moja tu hutoa hewa na kuliharibu.

    

Imani iokoayo

   

Toba

 
  

Hatia

  
 

Kujali

   

Kutojali

    

Upo katika ngazi hii?
Hatia yaweza kukuongoza kwenye…

Kisha, jaribu kufikiri maswali haya muhimu:

1. Umepata kufanya dhambi kwa kuvunja mojawapo ya Sheria za Mungu? ( )Ndiyo ( )Hapana
2. Je, dhambi zako hukusumbua? ( )Ndiyo ( )Hapana
3. Kwa kiwango gani? ( ) Kiasi kidogo? ( )Kiasi kikubwa? ( )Kiasi cha kutosha kuzishughulikia?