<<<<<

Piga
Mungu
Pengine
Huyu
Kila
Kutojali
Kujali
Amri Kumi
Hatia
Umepata
Toba
Basi
Imani iokoayo
Anakuwa
Kwa
Sababu
Na

Barua-pepe

  >>>>>

Kutojali


Huenda unajua kwa kiasi cha kutosha juu ya Yesu na wokovu, au unafahamu kiasi kidogo. Jambo la msingi ni kwamba hujali.

Hali ya kutojali itakufanya uwe mbali na kumfahamu Mungu, lakini haimfanyi Mungu aache kukujali. Kwa kuwa “…Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.” Warumi 5:8

    

Imani iokoayo

   

Toba

 
  

Hatia

  
 

Kujali

   

Kutojali

    

Upo katika ngazi hii?