<<<<<

Piga
Mungu
Pengine
Huyu
Kila
Kutojali
Kujali
Amri Kumi
Hatia
Umepata
Toba
Basi
Imani iokoayo
Anakuwa
Kwa
Sababu
Na

Barua-pepe

  >>>>>

Kila mtu yuko kwenye moja ya hatua hizi 5.



Msimamo wako huonyesha umbali wako kutoka kwa Mungu. Kila “hatua” huelezea hali ya moyo katika kumwelekea Mungu na hiyo huonyesha umbali wako-karibu au mbali-kutoka kwake. Yesu alifundisha haya aliposema kwa mtu aliyekuwa akitafuta ukweli, “Wewe hu mbali na ufalme wa Mungu.” Marko 12:34

    

Imani iokoayo

   

Toba

 
  

Hatia

  
 

Kujali

   

Kutojali

    

Upo kwenye hatua gani?