Huyu Mungu wa ajabu anataka…
| • Kukusamehe dhambi zako zote | |
| | | • Kukupa maana katika maisha yako sasa |
| | | | • Kukupeleka peponi mara uhai wako utakapo koma
|
Haya yote ni yako iwapo utakabidhi maisha yako kwa Bwana Yesu Kristo.
Iwapo utakataa zawadi hii ya rehema na upendo, unajiweka mwenyewe juu ya Mungu na chini ya
hukumu yake. (Yohana 3:36) Unajiweka mwenyewe kuwa mwenye mamlaka ya mwisho.
Hivyo, swali la maana sana ambalo utakuja kukutana nalo ni —
Ni nani aongozaye maisha yako?
Wewe mwenyewe au Yesu? Kurasa chache zinazofuata zitakusaidia kuelewa.
|