Mungu ni Mungu wa ajabu ambaye anakupenda na amekuwa akitaka utayari wako.
| Pengine | | | | |
| • Matatizo • Dawa • Michezo • Familia • Ngono • Biashara • Marafiki • Ushabiki
| | baadhi | | | |
| | | | ya mambo | | |
| | | | | haya | |
| | | | | | yamezuia jambo |
| | | | | | | hilo kutokea…
| |
Kujihusisha kwako na mambo hayo kunaweza kuwa kumekufanya uache kufikiri juu ya Mungu. Hata hivyo, utakapokuwa unasoma kijitabu hiki, Mungu anaweza kusema nawe jambo fulani.
|